WhatsApp Business inakuwezesha kuwa na uwepo wa biashara kwenye WhatsApp, kuwasiliana zaidi na kwa ufanisi na wateja wako, na kukusaidia kukuza biashara yako.
Ikiwa una namba za simu tofauti za biashara na kibinafsi unaweza kusakinisha WhatsApp Messenger na WhatsApp Business kwa simu moja, na kuzisajili na namba tofauti.
Pamoja na vipengele vinavyopatikana katika WhatsApp Messenger, WhatsApp Business ina:
• JALADA LA BIASHARA: Unda jalada la biashara yako ili kuwasaidia wateja wako kupata maelezo ya thamani — kama tovuti yako, mahali, au maelezo ya mawasiliano.
• ZANA ZA UJUMBE ZA BIASHARA: Kuwa msikivu zaidi kwa wateja wako kwa kutumia ujumbe wa kuwa Mbali kuonyesha wakati uko mbali au ujumbe wa Salamu kutumia wateja wako ujumbe wa utangulizi wakati wao wa kwanza wa kukutumia ujumbe.
• MSAADA WA NAMBA YA MEZANI/IMARA: Unaweza kutumia WhatsApp Business kwa namba ya simu ya mezani (imara) na wateja wako watakutumia ujumbe kwa namba hiyo. Wakati wa uthibitisho, chagua hiari ya "Nipigie" ili kupokea msimbo kwa simu.
• UNAWEZA KUTUMIA WHATSAPP MESSENGER NA WHATSAPP BUSINESS ZOTE MBILI: Unaweza kutumia WhatsApp Business na WhatsApp Messenger kwenye simu sawa, lakini kila programu tumizi lazima iwe na namba yake ya simu ya kipekee.
• WHATSAPP WEB: Unaweza kujibu wateja wako kwa ufanisi zaidi kutoka kwa kivinjari cha kompyuta yako.
WhatsApp Business imejengwa juu ya WhatsApp Messenger na ina vipengele vyote unavyotegemea, kama vile uwezo wa kutuma media-anuai, simu za bure*, utumaji wa bure wa ujumbe wa kimataifa*, soga za vikundi, jumbe za nje ya mtandao, na nyingi zaidi.
*Gharama za data zinaweza kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo.
Kumbuka: mara tu unaporejesha chelezo ya soga kutoka WhatsApp Messenger hadi WhatsApp Business, hutaweza kuirejesha tena kwa WhatsApp Messenger. Ukitaka kurudi, tunapendekeza kunakili chelezo ya WhatsApp Messenger kwenye simu yako kwa kompyuta yako kabla ya kuanza kutumia WhatsApp Business.
--------------------------------------------------------- Huwa tunafurahi kusikia kutoka kwako! Kama una maoni, maswali au wasiwasi, tafadhali tutumie barua pepe kwa:
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine5
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
tvRuninga
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.4
Maoni 13.6M
5
4
3
2
1
Ernest Masalago
Ripoti kuwa hayafai
14 Juni 2024
"Tafuta pesa upunguze kujieleza"
Watu 41 walinufaika kutokana na maoni haya
Nyalobi mabula Lunyenye
Ripoti kuwa hayafai
11 Juni 2024
Nyalobi Lunyenye
Watu 8 walinufaika kutokana na maoni haya
Baraka Tiba
Ripoti kuwa hayafai
27 Mei 2024
Nzuri na iko Fasta sana
Watu 79 walinufaika kutokana na maoni haya
Mapya
• Increased the length of Status videos and audio up to 60s • You can set default HD quality by going to Settings > Storage and data > Media upload quality • Sticker search now includes results from GIPHY
These features will roll out over the coming weeks. Thanks for using WhatsApp!